1 Chronicles 27:29

29Shitrai Msharoni alikuwa msimamizi wa makundi ya ng’ombe waliojilisha huko Sharoni.

Shafati mwana wa Adlai alikuwa msimamizi wa yale makundi ya ng’ombe yaliyokuwa makondeni.

Copyright information for SwhKC